Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemsahau mbuta nanga...
Mbwana samata, francis cheka, ngasa,Flaviana matata? Au akili zenu zipo kwa wajinga wenzenu tu?
Kwa sasa hivi Bongo msanii mwenye mvuto zaidi ni Gabo, hao wengine skendo zinawabeba.!
Mbwana samata, francis cheka, ngasa,Flaviana matata? Au akili zenu zipo kwa wajinga wenzenu tu?
lazma iwe hivyo vile rich ndo mwalimu wa jbIla bhana Rich anamzidi JB sema JB anaonekana sana kwenye screen
Mbwana samata, francis cheka, ngasa,Flaviana matata? Au akili zenu zipo kwa wajinga wenzenu tu?
umemsahau mbuta nanga...
Ila ungetakiwa useme kwa mtazamo wako maana najua haujafanya utafit wowote kupata hizo data. Afu mie hao no. 7 & 8 km ndo ningekua nimeandika hii list ningewatolea mbaliii hukooooo
wajameni embu mwenye picha ya Gabo na Lupita Nyongo! azi2pie hapa, mana wanazungumziwa sana hapa jf.
senki yuuGabo mbona simfaham huyu
Lupita huyu hapa