Mastaa wenye mvuto zaidi kwenye Jamii

Mbwiga Mbwiguke'mkole wa nyani kibwaya hayupo!!!!
 
Mbwana samata, francis cheka, ngasa,Flaviana matata? Au akili zenu zipo kwa wajinga wenzenu tu?
 
Kwa sasa hivi Bongo msanii mwenye mvuto zaidi ni Gabo, hao wengine skendo zinawabeba.!

wajameni embu mwenye picha ya Gabo na Lupita Nyongo! azi2pie hapa, mana wanazungumziwa sana hapa jf.
 
Mbwana samata, francis cheka, ngasa,Flaviana matata? Au akili zenu zipo kwa wajinga wenzenu tu?

Akili zako chafu , flavy despite of working with international organizations bado nyota yake sio bright kihivyo

Tafadhali usiniite mjinga, maana na wewe utakuwa mjinga kuingia na Ku comment thread ya mjinga, kwan huwez Ku criticize bila kutukana??
 
Ila ungetakiwa useme kwa mtazamo wako maana najua haujafanya utafit wowote kupata hizo data. Afu mie hao no. 7 & 8 km ndo ningekua nimeandika hii list ningewatolea mbaliii hukooooo


tuko pamoja kabisa heri hata mzee majuto Mara mia au Gabo
 
Namba 7 toa tupa kuleee.

Aaaah aah ray Sijui kwa nini hawampendi, sema anaringa sana , japokuwa filamu zake ki ukweli zinapendwa sana na ndio maana alikuwa mpinzani wa marehemu kanumba though alikuwa hampati
 
warumi hii ni orodha ya masuper star au Bongo movie?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…