Mastar Yanga kufungiwa AVIC huku wakigombea Kombe la Shirikisho

Hili la fitness ni Moja ya jambo lililoifanya yanga ishindwe kupata goli dhidi ya MC Alger.

Kwa wenye jicho la mpira tuliona baadhi ya wachezaji wakishindwa kukimbia kwa kasi wakati wa transition kwenda kushambulia.

Dawa ya kutibu hili ni kuwaweka kambi tu.
 
Dawa ni kuwapeleka Rehab.Wakevi wengi sana.Wanashindana kulewa.
 
Mnawafanya misukule na sindano zenu za kusisimua misuli
 
Bora Wakae huko...maana imefikia hatua ukipita mjini kila baada ya baa 4 lazima utakutana na mchezaji mmoja wa Yanga.

Wakiachiwa wanakuwa Walevi.!
 
Uwafungie Watu Kisa Ligi kuu ambayo Mnahonga Hovyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…