Master Card bila kuwa nayo upati mke?

Master Card bila kuwa nayo upati mke?

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
1,757
Reaction score
442
Tangazo hili la CRDB BANK.
Kwanza linashusha thamani ya mwanamke na kumfanya kama biashara wakati wa kuolewa,
- Muoaji anaulizwa kama anayo nyumba?
- Anaulizwa kama analo gari?
- Kama anayo ajira?
- Mwisho Jamaa anakwama kwa kuwa ana MASTER CARD
- Tangazo hili linafudisha nini?
- Kweli mapenzi ya kuoa na kuolewa yanalenga vitu vya kifahari
- Kwanini?
 
Je ukiwa na master card ndo shuluisho la kuoa?
Je aijalishi kama card hiyo ina hela au haina hela?
 
Je kadi hiwe na hela au haina madamu unayo tu umepata mke?
 
Mimi nafikiri hilo ni jina tu. Kwani ukiwa huna salio kuwa na Mastercard haikusaidii kitu kwani uchumi wetu/au transaction zetu ni Cash na si Credit kama iliyo ulaya na kwingineko ambako watu wanakopesheka.
 
Wamejaribu kutoa ujumbe bila ya kuangalia madhara yake kwenye upande wa jamii
 
Si woote wanaotaka kwenda penye kila kitu
kuna baaadhi ya makabila na wanawake wenye kuangalia izo mambo b4 anythng km ukionekana una matatizo ivi .....wanasepaa

wanakuomba benk stataement yako kabisa na paspot wajue unasafir safir au wewe ni tandika ,gongolamboto na kgambon...
 
Kwanini kiwe kigezo cha kutathimini maisha ya baadaye ya anayeolewa
 
Ni moja kati ya matangazo ya kitoto.mambo ya kutumia cheap labour kufanya jambo kubwa,kwani kwa pesa walizonazo CRDB wanashindwa kuhire professional advert company kuwatengenezea tangazo keeping in mind ndo tangazo lao la kwanza kuhusu hiyo master card, hovyoo.....
 
Nakumbuka VODACOM walishawahi kufanya tangazom kama hili linalohusisha urembo wa mwanamke ilibidi walicancell kabla ya kuanza kurushwa hewani kwa sababu ya kuona linamdhalilisha mwanamke
 
That's a marketing strategy.

They got ur attention dude
 
Ni moja kati ya matangazo ya kitoto.mambo ya kutumia cheap labour kufanya jambo kubwa,kwani kwa pesa walizonazo CRDB wanashindwa kuhire professional advert company kuwatengenezea tangazo keeping in mind ndo tangazo lao la kwanza kuhusu hiyo master card, hovyoo.....
Je wako wapi wanolilia haki za kina mama au wanalizika na hilo tangazo.
Umekuwa usemi sasa,wanatumia baadhi ya kina dada,kama hana master card hampati mtu hapa?
 
mimi card yangu inayo mastercard lakini si ya crdb....hapo napo vipi? au mpaka na tembo emblem iwepo?
 
Nakubaliana na mzee wa rubisi, tangazo limekiuka miiko ya utangazaji kwa kumdhalilisha mwanamke.
 
nawapongeza crdb, ndo maana watu wengi kwa sasa wako huko, tumeshaipotezea NBC bank ya ugoloko, benk yenye hisa za wananchi wa dini zote lakini imeingiza uislam kwenye bank yao..ubaguzi wa kidini, hii bank na ilaaniwe hadi ifilisike kabisa siku moja, tubakie tu na crdb na NMB. potelea mbali..
 
Si woote wanaotaka kwenda penye kila kitu
kuna baaadhi ya makabila na wanawake wenye kuangalia izo mambo b4 anythng km ukionekana una matatizo ivi .....wanasepaa

wanakuomba benk stataement yako kabisa na paspot wajue unasafir safir au wewe ni tandika ,gongolamboto na kgambon...

si useme tu wachaga :lol::lol::lol::lol::lol:
 
nawapongeza crdb, ndo maana watu wengi kwa sasa wako huko, tumeshaipotezea NBC bank ya ugoloko, benk yenye hisa za wananchi wa dini zote lakini imeingiza uislam kwenye bank yao..ubaguzi wa kidini, hii bank na ilaaniwe hadi ifilisike kabisa siku moja, tubakie tu na crdb na NMB. potelea mbali..
Je ushindani wa biashara ndo utumiwe hivyo kwa kuwa wenibora.
 
"
Huu ni ushahidi wa wazi jinsi jamii ilivyogawanyika kimaisha kati ya wenye nacho na wasionacho.pia Kimei anawaona watanzania wote kama kina-KABATI YA MBEHO
~YOU CAN BUY A WOMAN,BUT NOT HER LOVE~

"TANGAZO LA FISADI STANDARD"
 
Back
Top Bottom