Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
- Thread starter
- #21
Nani anausika na kusikiliza matangazo ya hapa bongo.Hili tangazo ni la kidhalilishaji
Wanaozalilishwa hapo kimya.
Au kwa kuwa ni CRDB.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani anausika na kusikiliza matangazo ya hapa bongo.Hili tangazo ni la kidhalilishaji
Nani anausika na kusikiliza matangazo ya hapa bongo.
Wanaozalilishwa hapo kimya.
Au kwa kuwa ni CRDB.?
TCRA walitakiwa waliangalie hili... lakini kuna vyama vya walaji na kama ninakumbuka vema juzijuzi hapa kulikuwa na maadhimisho ya siku ya haki za mlaji na theme ya mwaka huu ilihusu financial services, lakini nao wako kimya
Je na media zinazotangaza azifikili hili au pesa mbele
wajua mkuu hivi karibuni nilipita kwenye Club moja hapa mjini nikasikia wakina dada waambizana,Yule anayoa master kadi,kama ATM namini nayo asinibabaishe,Hao wanaotangaza wanaangalia mshiko kwanza, suala la maadili kwao halipo kabisa
Nadhani ni kukosa umakini na nadhani kama ni watu makini wanaweza wakalifuta.....................may be ilikuwa pre-testing......
Je ushindani wa biashara ndo utumiwe hivyo kwa kuwa wenibora.