Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 442
Si woote wanaotaka kwenda penye kila kitu
kuna baaadhi ya makabila na wanawake wenye kuangalia izo mambo b4 anythng km ukionekana una matatizo ivi .....wanasepaa
wanakuomba benk stataement yako kabisa na paspot wajue unasafir safir au wewe ni tandika ,gongolamboto na kgambon...
Je wako wapi wanolilia haki za kina mama au wanalizika na hilo tangazo.Ni moja kati ya matangazo ya kitoto.mambo ya kutumia cheap labour kufanya jambo kubwa,kwani kwa pesa walizonazo CRDB wanashindwa kuhire professional advert company kuwatengenezea tangazo keeping in mind ndo tangazo lao la kwanza kuhusu hiyo master card, hovyoo.....
How market strategy discourage othersThat's a marketing strategy.
They got ur attention dude
Je hukitao tu unawapata wakinadada kwa wepesimimi card yangu inayo mastercard lakini si ya crdb....hapo napo vipi? au mpaka na tembo emblem iwepo?
Si woote wanaotaka kwenda penye kila kitu
kuna baaadhi ya makabila na wanawake wenye kuangalia izo mambo b4 anythng km ukionekana una matatizo ivi .....wanasepaa
wanakuomba benk stataement yako kabisa na paspot wajue unasafir safir au wewe ni tandika ,gongolamboto na kgambon...
Je ushindani wa biashara ndo utumiwe hivyo kwa kuwa wenibora.nawapongeza crdb, ndo maana watu wengi kwa sasa wako huko, tumeshaipotezea NBC bank ya ugoloko, benk yenye hisa za wananchi wa dini zote lakini imeingiza uislam kwenye bank yao..ubaguzi wa kidini, hii bank na ilaaniwe hadi ifilisike kabisa siku moja, tubakie tu na crdb na NMB. potelea mbali..