Kwani mkurugenzi wa CRDB anatokea mkoa gani? Maana nasikia kuna mikoa lazima uwe nacho ndo upewe mke sijuhi ni ukweli au utani. Ila nina jirani yangu anatokea huo mkoa aisee anapenda ela huyo dada sijawahi kuona. Alienda kwenye msiba wa millionnaire mmoja wa kwao. Kurudi ananambia marehemu alikuwa jambazi ila ana ela huyo, na kanisani anapewa kiti mbele wakati kila mtu anajua kazi yake. Sasa the way alivyokuwa anasimulia you could tell kuwa na yeye ni admirer wa huyo marehemu. Yaani hao watu pesa ni pesa regardless unazipata vipi.