Ni sahihi kufahamu hilonla kwanza unalohofia "kuaminiana"
Je,hiko chuo hiko chuo kimesajiliwa na kina sifa nzuri/au yale unayohitaji?pia programu unayohitaji inaendana/ inakidhi viwango vya kimataifa ? Je, hiyo program inakidhi mahitaji yako kitaaluma na malengo ya kazi pia?
Je,njia gani za mawasiliano zinapatikana endapo utakwama,ufuatiliaji wa maendeleo yenu maana E learning si mchezo ukiwa nchi tofauti ila kwa chuo kama open universities kidogo ufuatiliaji wake nafahamu hata ukiwa nchi nyingine tofauti.