Wanajamvi habari za leo, nataka kufanya Masters in Computer security online, nimepata collage moja ipo spain inaitwa tech technological university, wapo nchini spain na wamekuwa wakinipigia simu mara kwa mara ili nijiunge nao.
Sasa kabla sijafikia maamuzi naomba ushauri kwenye hili jambo kama kuna mtu ameshakutana na mambo kama haya na kama wapo reliable maana miaka hii kuaminiana hasa humu mitandaoni ni ngumu! kama una ABC zozote naomba unijuze
Shukrani naomba kuwakilisha