Master J awashushia wakenya kitu kizito kichwani

Unalolisema ni sahihi kabisa, enzi zile tulikua tunasikiliza Wahuu, Nameless, Prezoo na wakenya wengine, hukusikia mtanzania yeyote aliyelalamika na kuanzisha maneno ya "play Tanzania music".

Hawa wakenya wanajiona keki Sana, wanadhani wao ndio wenye kustahili kupata kila kitu, wanadhani wao ni " unique" kuliko nchi zote hapa Africa.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Afu Bora wanyamaze kuliko kuongea wanaonekana washamba tu Kila kitu kina muda wake, miaka ya 2013 -2015 tumesikiliza nyimbo za nigeria Sana kina, iyanya, kcee, yemi alade nk haya sa hivi wako wapi? Watulie tu waongeze nguvu kwenye production tu
 
Wakenya kwenye nyanja za burudani bado watapiga magoti na kuisujudia Tanzania.

Tanzania kwenye ubunifu kwenye muziki kuanzia wa kidunia hadi za dini tupo viwango vya juu Sana na Wakenya wanaiga kufanana na sisi.

Kila kinachoendelea Tanzania wanakifuatilia Sana na unaweza kukuta huku mwanamuziki au muziki Fulani ulishapitwa na wakati ila kwao ndio kwanzaaa kumekucha.

Ubora wa muziki wa Tanzania unasababishwa na kuwa na makabila mengi yenye taduni nyingi hivyo msanii anaweza kuchukua vionjo Fulani akachanganya na vya kabila jingine.

Wakenya Wana ukabila na Kila mmoja anaona utamaduni au mziki wa kabila lake ni Bora kuliko mwingine. Mfano msanii wa kijaluo atakomaa na mamiziki ya hovyo ya kijaluo yanayopigwa kwenye pombe za kienyeji na anaamini ndio Bora. Kadhalika mkikuyu naye anapambana kuurekodi manyimbo yenye melodia mbovu za kikikuyu na kuanza kucheza wanagaragara na masuti ya njano, kijani au nyekundu kwenye matope na kupanda kwenye miti huku wakiimba manyimbo hayo kwa lugha zao wanaoweza THE,,"

Tatizo la Wakenya ni ukabila na ubinafsi, Wana mpaka redio na TV za kikabila na zinatangaza hewani kwa lugha za kienyeji , nimeshangaa mpaka redio ya dini ambayo inatakiwa kulinganisha nchi nzima REDIO MARIA KENYA nao wanatangaza kikikuyu na Wala hawajishtukii kuwa Kuna makabila mengine , watu wa ajabu Sana Hawa.

Sasa wakikutana na vijana wa bongo , wanaochamganya mahadhi mbalimbali na kukesha studio kutafuta mdundo utakaoweza kupenya na kukubalika kimataifa lazima washobokeee, hao wasanii wachovu wa Kenya Kila siku wanalalamika muziki ya bongo kupigwa kwenye TV zao Sasa wataacha kupiga kitu bombaa?
 
Walichotuzidi wakenya ni kuexport makahaba huko middle east,ukienda Dubai Dada zao wanauza K balaa,
 
Hawana lolote. Ni unyan'gau tu ndio umewajaa.
 
Kenya kazeni sana kwenye riadha, kwenye muziki muda wenu umepita, East Africa Tv back in 2006/2008 imepiga sana nyimbo zenu, nakumbuka ile nyimbo ya banjuka ilishika No 1 kwenye top 100 East Africa Tv, Tz hatuna chuki, ukabila na ubaguzi.
 
kwa kauli kama hizi dada'angu nakusihi uwache kutizama picha za wakubwa na nakuombea uweze kupata mume atakayekustiri.
Dada yenu Karen Nyamu yuko Dubai anagombamia wanaume,nenda kamsitiri wewe nyang'au
 
Alichofanya master jay ni ubaguzi wa wazi,zile comment asingetoa mbele ya hadhira namna ile,ni ubaguzi wa wazi dhidi ya Wakenya wakati kuna WaTz wenzetu wanasaka matonge yao kupitia Kenya.
Mkuu, hawa ndio wakenya unaojaribu kuwatetea

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Dada yenu Karen Nyamu yuko Dubai anagombamia wanaume,nenda kamsitiri wewe nyang'au
lakini si anagombania Mkenya mwenzake. umeambiwa anamgombania mdanganyika au mwarabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…