joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
Unalolisema ni sahihi kabisa, enzi zile tulikua tunasikiliza Wahuu, Nameless, Prezoo na wakenya wengine, hukusikia mtanzania yeyote aliyelalamika na kuanzisha maneno ya "play Tanzania music".Kenya wakubali wakati wao umepita hawana production zilizoko bongo kwa Sasa miaka ya nyuma tulifata studio Kenya, na hao ogopa deejays na ogopa video
Zilivuma za Uganda zinapita, zikaja Kenya, kipindi hio kina nonini , just Kali, nameless, wahu, tumewasikiliza Sana Ni wakati wa bongo Sasa hivo watulie hichi kijiti tunacho muda mrefu Sana
Hawa wakenya wanajiona keki Sana, wanadhani wao ndio wenye kustahili kupata kila kitu, wanadhani wao ni " unique" kuliko nchi zote hapa Africa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app