Master J na Shaa kufunga ndoa

Master J na Shaa kufunga ndoa

Nilipomuona Master J muongo ni pale aliposema shaa anapigiwa simu na mapedejhee na kumpa offer hadi ya mil400 na offer za magari hadi ya 200m na anayakataa.
 
Nilipomuona Master J muongo ni pale aliposema shaa anapigiwa simu na mapedejhee na kumpa offer hadi ya mil400 na offer za magari hadi ya 200m na anayakataa.
Duuu! Ajaonyeshewa live huyo alihaidiwa akaogopa atadanganywa
 
Aliyemvisha pete Maimartha Jessey na kukaa kidoleni bila ya ndoa, kwa miaka zaidi ya sita ndiye aliyefariki. Si mume. Jina limenitoka. Alikua pedezyee mjini.
Alikuwa anaitwa P. Diddy ( kibongo bongo lakini)
 
Nilipomuona Master J muongo ni pale aliposema shaa anapigiwa simu na mapedejhee na kumpa offer hadi ya mil400 na offer za magari hadi ya 200m na anayakataa.
Ha ha ha... U made my morning mkuu
 
“Miaka 10 niliyoishi naye nimemwelewa vizuri, anastahili kabisa kuitwa mke wa Master J hapa nafanya taratibu za kumuoa ili tuishi maisha ya mke na mume,” Master J aliliambia gazeti la Mtanzania. Yaani ameishi naye kwa muda wa miaka 10 bado anamwita msichana !!! Na kama angemwacha ni nani wa kuoa hivyo vilivyochacha.

kaolewa Zari wa watoto wanne sembuse Shaa
 
kaolewa Zari wa watoto wanne sembuse Shaa
Tatizo kwangu sio kuolewa, anaweza kuolewa hata baada ya kukaa naye kwa miaka 30, ila mimi naona Ukakasi pale ambapo pamoja na umri wote huo, bado anaitwa Msichana !!!
 
Ameishi nae miaka kumi na hawajaoana!! kwani ndoa ni kitu gani hasa?
 
Alikuwa anaitwa P. Diddy ( kibongo bongo lakini)

Maimartha kachezea sana kichapo toka kwa P.diddy alipokua hai. Jamaa nakumbuka alifariki ghafla, alidondoka njiani na kufariki wala hakuugua.
 
Back
Top Bottom