Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

BONGO UKIFANIKIWA UNACHUKIWA
 
Kumlinganisha Diamond Platnumz na Ali Kiba ni kumkosea heshima Diamond.

Diamond anaweza kuimba kila aina ya muziki unaojua na kielelezo tosha kwamba yeye ni giant.
 
Tafuta nyimbo ya kwanza ya Diamond
Tafuta nyimbo ya kwanza ya Alikiba

Kwa kukusaidia

Mondi

View: https://www.youtube.com/watch?v=OYlNTRVsPq8
Kiba

View: https://www.youtube.com/watch?v=j-z9UjGXUp0
Alafu kaa chini washikilize then wape marks zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…