Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

Master Jay: Diamond hamfikii Alikiba kwenye uimbaji

Diamond ni anakubalika sana nje ya mipaka kuliko msanii yoyote nyimbo zake anauza sana kuliko msanii yoyote, ameshinda tuzo nyingi kuliko msanii yoyote alafu uje kuniambia ni mburudishaji watu wanakuelewaje? Master Jay kwenye hili kamvunjia heshima Diamond
BONGO UKIFANIKIWA UNACHUKIWA
 
Aache uongo, Diamond ana hits nyingi kuliko Alikiba. Ni kwamba haters wa Diamond mnatafuta tu namna ya kumfanya Alikiba kuwa relevant na maneno haya hayajaanza leo.

Nje ya Tanzania hawamjui Diamond kwa drama zake bali kwa muziki wake, Alikiba anaejua kuimba kumzidi Diamond mbona anazidiwa kukubalika hadi nje ya mipaka yetu?

nyimbo alizoshirikishwa Diamond Tanzania na nje ya Tanzania zimefanya vizuri mara elfu ya nyimbo alizoshirikishwa Alikiba. Mafanikio haya pia yanatokana na drama zake?

Diamond kuwa na kipaji cha kuburudisha haimfanyi kuwa na ubora mdogo kwenye utunzi, melodies na uimbaji hadi kufikia level ya kumlinganisha na Alikiba.

Master Jay amemkosea sana heshima Diamond kumlinganisha na Alikiba. Amuombe radhi Diamond kabla hajafa.
Tafuta nyimbo ya kwanza ya Diamond
Tafuta nyimbo ya kwanza ya Alikiba

Kwa kukusaidia

Mondi

View: https://www.youtube.com/watch?v=OYlNTRVsPq8

Kiba

View: https://www.youtube.com/watch?v=j-z9UjGXUp0

Alafu kaa chini washikilize then wape marks zao
 
Back
Top Bottom