Master Jay kwa hili umeniangusha!

evonik

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
3,996
Reaction score
5,156
Ninaangalia Bongo Star Search majaji ni Master Jay, Salama Na Madam Rita mshiriki mmoja aliingia ambapo mshiriki huyo mwaka jana alitoa nyoka na kinyonga kutoka ndani ya nguo zake, sasa leo kaingia kwenye jukwaa Master Jay kumuona akakimbia kutoka kwenye kiti chake hadi Madam Ritah anamvuta asikimbie!

Kwa kwel ni tukio la aibu! Master Jay umefanya nini sasa? Unajiita Master, uko wapi huo u master wako?
 
Mkuu unataka kutengeneza kashfa ingine ya wanaume wa Dar nadhani.....Na mtuache hata tupumzike sasa...
 
Wewe unajuaje labda ni Master of Ceremony au labda ni Master of Athletics au pengine ni Master of Fear!?
Huwezi jua bana tusidanganyane hapa
 
Aisee unajua mle kwenye ile Show kuna watu sio wasanii wa Mziki kivile.
Sasa huenda kama kufanya vituko tuuu
We ukitaka kujua vituko Angalia Ndondo CUP ya Dokta mwaka ndio utaona kwamba Mbali na Mpira kuna burudani kuubwa ya Ziada kwa Mashabiki.

Sasa wale jamaa huwa ni watu wa Burudani,kuingia na Mijuzi,mara kinyonga,mara mwingine anaingia haimbi kabisaaa,anashangaa kama vile katokea mwezini.Ni vituko tu kwenye Talent search kama hizi
 
Master J alikua wa kwanza kukimbia na kuwaacha wanawake. Kazidi uoga jamaa hata huyo nyoka hakumtoa
 

Mkuu Master J ni mwanaume wa dar
Nimecheka sana...daaa Jf ni kiboko...Mwl Evelyn Salt pita hapa Teh Teh..

Jamaa alivyo sikia mtu anaitwa master akajua ni kama wale wa kwenye picha wanaoshika nyoka na kucheza karate..
 
Last edited by a moderator:
Master J alikua wa kwanza kukimbia na kuwaacha wanawake. Kazidi uoga jamaa hata huyo nyoka hakumtoa
Unajua mtoa mada anadhani alipata umaster kwa kushika nyoka kama kwenye yale mapicha ya kichina Teh Teh....
 
Mkuu Master J ni mwanaume wa dar
Nimecheka sana...daaa Jf ni kiboko...Mwl Evelyn Salt pita hapa Teh Teh..

Jamaa alivyo sikia mtu anaitwa master akajua ni kama wale wa kwenye picha wanaoshika nyoka na kucheza karate..
Wanaume wa dar wanatafunwa na kashfa ha ha ha hivi nawe ni mwanaume wa dar eeeh?
 
ni kwamba hicho kipindi hamkuangalia chote au?! madam riths aliulizwa akasema they got a message kwamba huyo jamaa siku hiyo anakuja akiwa ameficha nyoka kwny sweta lake sasa wakaambiwa majudge ndio maana alivyomuona akakimbia
 
Hahaaaaaa kumbe jamaa ndo alifikiria hvo u master wa kichina kwa wanaume wa Darsalama
Teh Teh jamaa anajua ukiitwa master basi umepitia mafunzo kama ya Master wake jet lee..Jf kuna watu wa aina yake..
 
Master J alikua wa kwanza kukimbia na kuwaacha wanawake. Kazidi uoga jamaa hata huyo nyoka hakumtoa

Teh teh teh, Wanaume wa dar ndo walivyo, huoni walimwacha mmama wa watu ndo anapambana na kichaa mwenye kisu ndani ya daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…