evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Ninaangalia Bongo Star Search majaji ni Master Jay, Salama Na Madam Rita mshiriki mmoja aliingia ambapo mshiriki huyo mwaka jana alitoa nyoka na kinyonga kutoka ndani ya nguo zake, sasa leo kaingia kwenye jukwaa Master Jay kumuona akakimbia kutoka kwenye kiti chake hadi Madam Ritah anamvuta asikimbie!
Kwa kwel ni tukio la aibu! Master Jay umefanya nini sasa? Unajiita Master, uko wapi huo u master wako?
Kwa kwel ni tukio la aibu! Master Jay umefanya nini sasa? Unajiita Master, uko wapi huo u master wako?