Teh Teh ..Teh teh teh, Wanaume wa dar ndo walivyo, huoni walimwacha mmama wa watu ndo anapambana na kichaa mwenye kisu ndani ya daladala
Ikishindikana muanze ku import wanaume kutoka kanda ya ziwa....Teh Teh..Hahahaaaaa hakuna namna tena imebidi tuwe ngangari kama wanawake wa rombo!
Duuuh! Hiyo itakua hatua ya mwisho kwakweli.Ikishindikana muanze ku import wanaume kutoka kanda ya ziwa....Teh Teh..
Sasa mbona unajiita kakajambazi?Kuna watu tumeumbwa na tunaogopa nyoka isivyokawaida.
Mi mwenyewe ni bora nikutane na simba kuliko nyoka.
Hahaaaaa inashangaza sana aisee zamani ilikua wanawake ndo waoga sana wanaume ndo walikua babalao Ku protect wanawake ila kwa Dar ni virse versa.Teh teh teh, Wanaume wa dar ndo walivyo, huoni walimwacha mmama wa watu ndo anapambana na kichaa mwenye kisu ndani ya daladala
Kwa iyo jambazi anapora nyoka benki?!Sasa mbona unajiita kakajambazi?
Ninaangalia Bongo Star Search majaji ni Master Jay, Salama Na Madam Rita mshiriki mmoja aliingia ambapo mshiriki huyo mwaka jana alitoa nyoka na kinyonga kutoka ndani ya nguo zake sasa leo kaingia kwenye jukwaa Master Jay kumuona akakimbia kutoka kwenye kiti chake hadi Madam rita anamvuta asikimbie kwa kwel ni tukio la aibu Master Jay umefanya yanini sasa unajiita Master uko wap huo u master wako?
Teh Teh jambazi gani muoga?Kwa iyo jambazi anapora nyoka benki?!
Hahaaaaa inashangaza sana aisee zamani ilikua wanawake ndo waoga sana wanaume ndo walikua babalao Ku protect wanawake ila kwa Dar ni virse versa.
Hyo case ya mmama kwenye daladala imenikumbusha story ya Hawa the bus driver.
Hahaaaaa Hawa alipambana na jambazi kwa kumdhibiti honestly nimekumbuka mbali hadi mwalimu wangu.Ahaaaa na mimi umenikumbusha mbali mkuu
Ikishindikana muanze ku import wanaume kutoka kanda ya ziwa....Teh Teh..
Aaaah kumbe ndo umehamia ROMBO moja kwa moja mi nlijua kwa muda tu ha ha haTeh Teh..Mimi nilihama Dar kabisa kukwepa kashifa hizi Teh Teh..
Hahaaaaa Hawa alipambana na jambazi kwa kumdhibiti honestly nimekumbuka mbali hadi mwalimu wangu.
Teh Teh jambazi gani muoga?
Teh Teh tutarudi tatizo likiisha....Aaaah kumbe ndo umehamia ROMBO moja kwa moja mi nlijua kwa muda tu ha ha ha
Sasa mbona unajiita kakajambazi?
Hahaaa nilisoma elfu mbili na tano nikiwa formless sasa huyo mwalimu hadi nimemkumbukaKumbe na wewe siyo wa dotcom mkuu, unajua hadi hizo story za long
Hahaaa nilisoma elfu mbili na tano nikiwa formless sasa huyo mwalimu hadi nimemkumbuka
Hahaaaaaa heshima yako mkuuuHahaaa kumbe kinda kabisa, kumbe tupege shikamoo zetu bana hata kama tuko nyuma ya hizi IDs feki