Master Jay kwa hili umeniangusha!

Master Jay kwa hili umeniangusha!

Kuna watu tumeumbwa na tunaogopa nyoka isivyokawaida.
Mi mwenyewe ni bora nikutane na simba kuliko nyoka.
 
Teh teh teh, Wanaume wa dar ndo walivyo, huoni walimwacha mmama wa watu ndo anapambana na kichaa mwenye kisu ndani ya daladala
Hahaaaaa inashangaza sana aisee zamani ilikua wanawake ndo waoga sana wanaume ndo walikua babalao Ku protect wanawake ila kwa Dar ni virse versa.
Hyo case ya mmama kwenye daladala imenikumbusha story ya Hawa the bus driver.
 
Ninaangalia Bongo Star Search majaji ni Master Jay, Salama Na Madam Rita mshiriki mmoja aliingia ambapo mshiriki huyo mwaka jana alitoa nyoka na kinyonga kutoka ndani ya nguo zake sasa leo kaingia kwenye jukwaa Master Jay kumuona akakimbia kutoka kwenye kiti chake hadi Madam rita anamvuta asikimbie kwa kwel ni tukio la aibu Master Jay umefanya yanini sasa unajiita Master uko wap huo u master wako?

Wanaonesha channel gani?
 
Hahaaaaa inashangaza sana aisee zamani ilikua wanawake ndo waoga sana wanaume ndo walikua babalao Ku protect wanawake ila kwa Dar ni virse versa.
Hyo case ya mmama kwenye daladala imenikumbusha story ya Hawa the bus driver.

Ahaaaa na mimi umenikumbusha mbali mkuu
 
Ikishindikana muanze ku import wanaume kutoka kanda ya ziwa....Teh Teh..

Ila tuache utani mkuu, mi nahisi ni kweli something is wrong kwa hawa wanaume wa dar, sababu wanavyofakamiaga hizi supu za pweza, sijui mahindi ya pilipili chumvi, maembe mabichi na chumvi pilipili, yaani wanatumia vitu ambavyo wa mikoani hawatumii, mi honestly nilishaweka mashaka na mifumo ya miili yao bana, ndo maana ni lege lege united
 
Back
Top Bottom