Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Ila tuache utani mkuu, mi nahisi ni kweli something is wrong kwa hawa wanaume wa dar, sababu wanavyofakamiaga hizi supu za pweza, sijui mahindi ya pilipili chumvi, maembe mabichi na chumvi pilipili, yaani wanatumia vitu ambavyo wa mikoani hawatumii, mi honestly nilishaweka mashaka na mifumo ya miili yao bana, ndo maana ni lege lege united
naona unajipozapoza mkuu siasa sio vita mkuu ucku mwema
Teh teh teh ndio maana Taifa Stars inapigwa tatu tatu
Bado mnatazama huu upuuzi?
Hahaaaaa inashangaza sana aisee zamani ilikua wanawake ndo waoga sana wanaume ndo walikua babalao Ku protect wanawake ila kwa Dar ni virse versa.
Hyo case ya mmama kwenye daladala imenikumbusha story ya Hawa the bus driver.
Story nyingine hutokea nakukumbusha important events tulizopitia kwenye life.Hahahah,aisee Diva acha kukumbusha Hiyo Story,aisee nakumbuka mbali kweli.
Na hii ndio mambo ya Sarafina haya,watu wanakumbuka mbali sana na kujitolea muhanga.
Maana Sarafina alikuwa hapa Zanzibar kwa ZIFF(Zanzibar International Film Festival),yaani nilikuwa nikimuangalia nakumbuka ile Sinema yake,duhhh sipati picha.
Ila amekuwa mkubwa kwa sasa,lakini mzuri sana,na mwili wake bado ule ule mwembamba.Maana nilienda na wanangu walitaka kumuona,ila ilikuwa mbinde kiasi
Story nyingine hutokea nakukumbusha important events tulizopitia kwenye life.
I wish ningemuona sarafina mana movie yake ila niliangaliaga nikiwa mdogo sasa nikawa naambiwa south Africa na ubaguzi sarafina ilinivutia sana kusoma historia aisee ya makaburu. Jamani ningemuona ndo furaha yangu ingrkamilika sana yani.
Dah nampenda sana Sarafina na ile movie huwa hainichoshi kabisa kuiangalia. Wanao wali enjoy sana kutoka kwa best daddy anaye wapa wanawe kitu wakipendacho.Pole sana wangu,mie nilivyosikia anakuja basi niliwaagiza wanangu from Dar wakaja kumuona,maana wanampenda kupita maelezo,wali enjoy mno walipomuona face to face.
Siunajua ZIFF ilifanyika on Mandela`s day,sasa alikuja kama mualikwa.Ningejua ningekustua
Ila usijali next time akija mtu maarufu nitakustua kwenye matamasha angalua uje kwa one day.
Na hili ni tatizo mtu badala ajadili hoja anakimbilia matusi. Ni aibu sana tena ukute ni baba wa familia huyo. Ila huwa naamini watu kwenye jamii wako kila sampuli
Kabisa mkuu mana wanajizalilisha wenyewe.Kweli kabisa mkuu, watu wa sampuli hii dawa yao ni kuwapuuza tu
Teh Teh...Hahahaha,
Leo Jamaa wa Dar kazi wanayo aiseee.
Maana wanapata wamkoani wanapata Support ya Madada waliopo Dar basi jamaa zote wa Dar wamesepa kwenye UZI.
Ukikata Mke nenda Kaoe Mbagala,ili iwe rahisi kumfundisha Judo.Maana unakuta mwanamke kwenye Daladala ndio wa kwanza kupenya,yaani unasukumwa ukigeuka kumbe mwanamke kaishapita,aisee
Dar watuw anatafuta Six packs,Kunyanyua vyuma.Kuna siku jamaa alikula Kichapo pale karume na dogo tu wa kawaida,watuw alijua dogo atapigwa maana jamaa ni mtu wa nondo.Nikajua kumbe aisee nyanyua vyuma uvutie madem ila kupigana ni kesi nyingine.
Aisee unajua mle kwenye ile Show kuna watu sio wasanii wa Mziki kivile.
Sasa huenda kama kufanya vituko tuuu
We ukitaka kujua vituko Angalia Ndondo CUP ya Dokta mwaka ndio utaona kwamba Mbali na Mpira kuna burudani kuubwa ya Ziada kwa Mashabiki.
Sasa wale jamaa huwa ni watu wa Burudani,kuingia na Mijuzi,mara kinyonga,mara mwingine anaingia haimbi kabisaaa,anashangaa kama vile katokea mwezini.Ni vituko tu kwenye Talent search kama hizi