Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Ila tuache utani mkuu, mi nahisi ni kweli something is wrong kwa hawa wanaume wa dar, sababu wanavyofakamiaga hizi supu za pweza, sijui mahindi ya pilipili chumvi, maembe mabichi na chumvi pilipili, yaani wanatumia vitu ambavyo wa mikoani hawatumii, mi honestly nilishaweka mashaka na mifumo ya miili yao bana, ndo maana ni lege lege united
Teh teh teh ndio maana Taifa Stars inapigwa tatu tatu