Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha
Wanalewa sifa sana hao,yeye na Anduje bora Madame yupo real.....Mwanzo MJ alikuwa poa ila kamfata ANDUNJE.Master Jay una boa wewe jamaa. Hizi ni chuki za wazi kabisa kwa mshiriki Aboubakari. Haiwezekani wiki tatu mfululizo unamponda tuu kijana wa watu. Hata kama ndio kukosoa sio ki hivyo unampotezea comfidence na unampotezea kura pia. Kijana anajitahidi sana hata kama kuna wanaojitahidi zaidi yake. Ishu ya ww kukomalia ni wa kawaida daily ndo nini sasa mtoeni basi. Usiwe na double standards kwa washiriki. Ujumbe huo ukufikie kama hauko humu mkeo Shaa atakwambia yuko humu.
Hata mm nimeshangaAseee hivi hiyo kitu yakuitwa Bongo Staa Sechi ipogo?
Usipate shida, BSS haina tija tena
Nimeipenda sana hii!
Master Jay una boa wewe jamaa. Hizi ni chuki za wazi kabisa kwa mshiriki Aboubakari. Haiwezekani wiki tatu mfululizo unamponda tuu kijana wa watu. Hata kama ndio kukosoa sio ki hivyo unampotezea comfidence na unampotezea kura pia. Kijana anajitahidi sana hata kama kuna wanaojitahidi zaidi yake. Ishu ya ww kukomalia ni wa kawaida daily ndo nini sasa mtoeni basi. Usiwe na double standards kwa washiriki. Ujumbe huo ukufikie kama hauko humu mkeo Shaa atakwambia yuko humu.
Huyu babu nae hakui
Tupe uchambuzi wake mkuuHuyu Jamaa huwa namkubali sana!
2017 BET Awards ktk Hall of Fame alimwelezea Tupac namna alivokuwa mchizi wake, daaah! Nilimkubali sana! Jamaa alimchambua Pac mpk akatoa chozi! It was so touching.