Master Jay wa BSS unaboa

Master Jay wa BSS unaboa

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Master Jay una boa wewe jamaa. Hizi ni chuki za wazi kabisa kwa mshiriki Aboubakari. Haiwezekani wiki tatu mfululizo unamponda tuu kijana wa watu. Hata kama ndio kukosoa sio ki hivyo unampotezea comfidence na unampotezea kura pia. Kijana anajitahidi sana hata kama kuna wanaojitahidi zaidi yake. Ishu ya ww kukomalia ni wa kawaida daily ndo nini sasa mtoeni basi. Usiwe na double standards kwa washiriki. Ujumbe huo ukufikie kama hauko humu mkeo Shaa atakwambia yuko humu.
 
277020_eb4c6da1339aa4ebc15417a6b27d8411.gif
 
Wanalewa sifa sana hao,yeye na Anduje bora Madame yupo real.....Mwanzo MJ alikuwa poa ila kamfata ANDUNJE.
 
hainaga mvuto ndiyo maana ha
ta sponsors wanaikimbia...imebaki jina tu...show ya kifake sana dunia nzima...Master Jay kwanza kashazeeka hata misingi ya music hanaga tena...kabakia kubwabwaja tu kama Dudubaya
 
Kushiriki bss ni kupoteza muda.

Back
Top Bottom