Master Jay wa BSS unaboa

Katoka aisee labda soko litaamua huku nje maana pale imeshindikana ila ukweli ubaki kwa sasa waimbaji wanajitahidi sana ila kale ka marasta mengi nadhani kanaweza kuibuka kashindi au huyu mwana hip hop
Yahh kametoka. Huyo marasta makubwa ndo mshindi hyo
 
BSS yenyewe matunda kiduchuuu, Majaji wakilewa sifa mwisho wake ni kupoteana wajifunze kwa Tusker project fame
Nimeimiss kweli hyo Tusker project fame sijuin na wenyewe why wameacha
 
Siku ambayo majaji walikuwa wamelewa, Master Jay anaropoka hovyo. Eti mzungu kitu gani, ndiyo niliona sisi ngozi nyeusi pia ni tatizo. MJ na Rita siku ile walionesha ubaguzi wa waziwazi, ni bora Salama mara elfu.
Huyo Mj anaropokaga kama sio mwanaume mwwnye wtt wakubwa
 
Washenzi tuu wale panya.Hakuna cha Madame Ritta wala master kumchuzi.Shindano la kindezi ambalo hata paka hawezi kulivumilia.Tukibaguliwa twajiona wanyonge.Kumbe nasi twabagua wenzetu.
 
Afadhali club raha leo ya TBC sema inabidi wapate watangazaji wa kileo sio wale waki zamani hawana mvuto kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…