Master minder wa Riz 1

Master minder wa Riz 1

Harusi5.JPG
Mtoto wa mkwere awe mbaya namna hii !! Mi nakataa !
 
Kuna anaemfahamu mume wa Dr Salama Kikwete? Kijana wa kichaga aliebadili dini ili afunge ndoa na mtoto wa aliekuwa raia number moja. Jamaa ni mpiga dili wa hatari, hataki ajulikane kabisa lakini yeye ndiye planner mkubwa wa familia.
Wachaga kwa dili hamjambo ila samahano.
 
Kuna anaemfahamu mume wa Dr Salama Kikwete? Kijana wa kichaga aliebadili dini ili afunge ndoa na mtoto wa aliekuwa raia number moja. Jamaa ni mpiga dili wa hatari, hataki ajulikane kabisa lakini yeye ndiye planner mkubwa wa familia.

Mkuu saa nyingine ukimya huficha ujinga! Uliwahi sikia mchaga anaitwa Marwa?
Hahahaaaaa!! Unanitukana bure ila ndo zenu.
 
ulitaka uoe ww?weka post za maana sio kujadili za watu.ww deal zako mbona huziwek
 
Albert Marwa: Huyu ni Mtoto ambaye asili yake ni Uganda na wazazi wake hawajajulikana. Aliokotwa Uganda na General Marwa wakati wa vita vya Uganda na Kagera
na kulelewa Musoma hivyo kubeba jina la ukoo wa Marwa.
Tayari taarifa za Kiinterejensia zinapasha kuwa ameshakwenda nchini Uganda mara kadhaa kwa ajili ya kusaka wazazi wake.
 
Back
Top Bottom