Master minder wa Riz 1

Master minder wa Riz 1

b1e9ef1255bd470b724d6fd62699e5cc.jpg
wewe bila shaka ulikuwa ni mtu wa ndani sana wa familia ya kikwete uliyehasi familia hiyo kutokana na sababu unazozifahamu wewe mwenyewe.vingine usingepata access ya kuwa na picha hii.

hii picha ya hawa watoto ni ya kitambo sana na kwasasa washakuwa vijana mashababi.

nadhani hapo ilikuwa ni mwaka 2005,miezi michache baada ya jk kuingia ikulu akiwa kama raisi wa tanzania.
 
Back
Top Bottom