Master of bussiness administration (mba)

maleka

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
143
Reaction score
33
Habari wana jamvi,,
naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu hili,,
mm nimemaliza Bachelor ya Computer science na
nahitaji kufanya master ya Bussines Administration,,
nni kinahitajika au naweza kujiunga direct,,,,


thanks.
 
Malengo yako ni yapi? Kuajiliwa au unabiashara zako? Hizi kozi jiangalie na wewe future needs ndio uchague.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…