Habari wana jamvi,,
naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu hili,,
mm nimemaliza Bachelor ya Computer science na
nahitaji kufanya master ya Bussines Administration,,
nni kinahitajika au naweza kujiunga direct,,,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.