Wana jf habari za pasaka? leo nina shida ya kujua Details za Master of information studies,naomba mtu aliye/anayesoma hii kozi anipe details za hii kozi, Je inahusu nini hasa, ina related na kozi za IT au inarelate na kozi zipi? vp kuhusu wahitimu wake je wanaajiliwa au kujiajili kwenye sekta gani? na vp kuhusu soko lake la ajira?
Nitafurahi sana greater thinkers kwa msaada wenu.
inahusisha IT,LAKIN ,MAJOR NA MAMBO YA LIBRARY,U MAY BE LIBRARIAN,yupo rafiki yangu alisoma that course now ni senior librarian at SUA,mimi pia niliopt kozi ya Library education and information management,module ya mwisho ilikua ni Issue za IT hasa zinavyosaidia katika kupata info.
Hop others wataongea