Gudasta
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 501
- 788
Wana jf habari za pasaka? leo nina shida ya kujua Details za Master of information studies,naomba mtu aliye/anayesoma hii kozi anipe details za hii kozi, Je inahusu nini hasa, ina related na kozi za IT au inarelate na kozi zipi? vp kuhusu wahitimu wake je wanaajiliwa au kujiajili kwenye sekta gani? na vp kuhusu soko lake la ajira?
Nitafurahi sana greater thinkers kwa msaada wenu.
Nitafurahi sana greater thinkers kwa msaada wenu.