Samahani naomba kuuliza vigezo na sifa za kusoma Master degree ya computer engineering udsmKwa wanafunzi wa undergraduates, Diploma au yeyote mwenye uhitaji wa kuelewa kuhusu course ya Computer Science katika level ya postgraduate inayotolewa udsm, unaweza kuniuliza.
Pia unakaribishwa kuchangia hoja pale unapoona inahitajika au unaweza kunitumia message inbox pia.
Mimi nilisoma college ya CoICT, hawatoi hiyo course ya IT with education . Ushauri wangu ungesearch undergraduate programs zinazotolewa college ya DUCE.Mkuu nimemaliza diploma yangu ya SQA(UTHIBITI UBORA WA SHULE nina GPA YA 4.4nahitaji kusoma bc ya IT with education je kwa udsm wana course km hiyo..na Tuitor fees sh ngapi je naweza pia kupata mkopo kutoka bodi
Naomba kuuliza vigezo vya kusoma CS degree,nimemaliz diploma ya computer science .naomba kujua ada ipoje hapo
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Naomba kuuliza vigezo vya kusoma CS degree,nimemaliz diploma ya computer science .naomba kujua ada ipoje hapo
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu nmekuPM