Master of Science in Computer Science UDSM

Techguy

Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
57
Reaction score
41
Kwa wanafunzi wa undergraduates, Diploma au yeyote mwenye uhitaji wa kuelewa kuhusu course ya Computer Science katika level ya postgraduate inayotolewa udsm, unaweza kuniuliza.

Pia unakaribishwa kuchangia hoja pale unapoona inahitajika au unaweza kunitumia message inbox pia.
 
Samahani naomba kuuliza vigezo na sifa za kusoma Master degree ya computer engineering udsm
 
Mkuu nimemaliza diploma yangu ya SQA(UTHIBITI UBORA WA SHULE nina GPA YA 4.4nahitaji kusoma bc ya IT with education je kwa udsm wana course km hiyo..na Tuitor fees sh ngapi je naweza pia kupata mkopo kutoka bodi
 
Mimi nilisoma college ya CoICT, hawatoi hiyo course ya IT with education . Ushauri wangu ungesearch undergraduate programs zinazotolewa college ya DUCE.
 
Back
Top Bottom