Master ya Kozi gani Mzumbe itanisaidia kwenye mambo ya biashara

qurious

Senior Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
117
Reaction score
77
Wanajamii nimemaaliza chuo cha IFM degree ya banking and finance naombeni msaada nisomee masters gan chuo cha mzumbe? itakayokuwa msaada kwamgu kwenye mambo ya biashara?
 
Umeishasema MBA halafu hapa unaomba ushauri? By the way MBA mzumbe mpaka umefanya kazi ndani ya miaka mitano ndo utaweza kuisoma hiyo MBA
 
Umeishasema MBA halafu hapa unaomba ushauri?By the way MBA mzumbe mpaka umefanya kazi ndani ya miaka mitano ndo utaweza kuisoma hiyo MBA

Haiko ivo dada,, labda kama una gpa ya pass undergraduate,, ndo wanahitaji experience ya kazi tena siku hizi sio miaka mitano ni mi 3,,pitia prospectus vizuri
 
Umeishasema MBA halafu hapa unaomba ushauri?By the way MBA mzumbe mpaka umefanya kazi ndani ya miaka mitano ndo utaweza kuisoma hiyo MBA

Ingekuwa hivi elimu ingekuwa ngumu sana Tanzania. GPA kama anayo kuanzia 2.9 anasoma muda wowote ule. Labda kama ana pass ndio kuna njia nyingine. Nina mtu nimegraduate nae ana 3.3 na anapiga now yupo ktk final year kumalizia malizia research. So atuambie kwanza ana GPA ipi.
 
hivi mzumbe wanatoa MBA(finance) ?
 
If you want papers (certificate)..soma chuo chochote, but if you want 'quality'...nenda kafanye MBA ESAMI.
 
Hiyo hata usipoisoma, thesis utaandikiwa, assignment utafanyiwa ww utasubiri gamba tu na graduu!
 
Ingekuwa hivi elimu ingekuwa ngumu sana Tanzania. GPA kama anayo kuanzia 2.9 anasoma muda wowote ule. Labda kama ana pass ndio kuna njia nyingine. Nina mtu nimegraduate nae ana 3.3 na anapiga now yupo ktk final year kumalizia malizia research. So atuambie kwanza ana GPA ipi.

achen kudanganyana mzumbe ukiwa na low second yyte ile undergraduate hawakuachi hata uwe na zero experience ya kazi!!
 
There is no linear correlation between one's innovativeness and his level of education. Start your business first, MBA will find you in your way. Experience is a good teacher.
 
Back
Top Bottom