Masters in university of dar es salaam

Masters in university of dar es salaam

kebo

Member
Joined
May 8, 2012
Posts
11
Reaction score
0
Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.
 
semester ya pili ikianza huwa wanafungua applications, ila tembelea tovuti ya chuo mara kwa mara kuanzia mwezi wa 3..
 
kuanzia march mpaka april, tembelea website yao mara kwa mara au kama upo dar nenda chuoni directly department of postgraduate studies. Ipo ground floor jengo la maktaba.
 
Duuuuu MUD ,masters in university of daresalaam
 
Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.

Lakini sasa sidhani kama hiyo course unayoitaka wanayo. Wanazo nyingi baadhi ni kama Masters in Business Administration, Masters in Computer Science, etc, etc, ila sidhani kama wanatoa hiyo unayotaka wewe, yaani Masters in University of Dar es Salaam
 
...mara nyingi mwisho ni april 30...
 
Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?
 
Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?

Tatizo la watz wengi wanadhani ukiandika Kiswahili utaonekana mburula. matokeo yake ameandika utumbo.
 
Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?
Mkuu, kujua lugha si kigezo cha ufaulu masters unless unasoma languages. Zipo course nyingi tu ambazo hazihitaji umahiri wa lugha.
 
Watachukua intake nyingne mwezi wa nne.over
 
Masters in University of Dar es salaam inahusu nini hasa au ndiyo mambo ya Migomo na kuuza sura Mlimani City?
 
Back
Top Bottom