Masters in university of dar es salaam

Masters in university of dar es salaam

Ushindwe kwa jina la YESU...... maneno yako na yakurudie...
 
Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?
ushindwe kwa jina la YESU.........na maneno ya mdomo wako yakurudie.....
 
Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?
ushindwe kwa maneno ya kinywa chako.....na yakurudie.....
 
Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.
Kama ni THESIS unafanya application muda wowote ila masomo huwa yanaanza SEM I (September or October) or SEM II (February or March) na kama ni DISSERTATION application huwa zinaanza February, March hadi May na masomo huwa yanaanza SEM I yaani September or October.
 
What he means ni masters ipo inatolewa ud ingawa meaning kwa hiyo sentensi ni tata hakuna masters in university ila masters ipo inatolewa ndani ya ud

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Yaani kila kitu sijaelewa. kuna masters in university of DSM???? Maajabu inaonyesha uko hapo!!!

A-mind-enclosed-in-language-is-in-prison..jpg
 
Mkuu, ulimaanisha Masters at University of Dar es Salaam au Masters, in University of Dar es Salaam?..au unamaanisha ni kozi mpya?

Kulingana na uandishi wako ni dhahiri kuwa upo hapa Dar es Salaam, kwanini usifike kitivo husika kwa maelezo zaidi? Kujibu swaki lako, ninadhani majibu yanapatikana katika tovuti yao!
 
coni kama kuna kosa kubwa kiasi hicho jamani; hizo ni typing errors tu lakini ameeleweka anachoulizia ni nni,,wanaojua mjuzeni,
 
Wabongo bwana unachambua post ya mtu kutafuta wap kakosea umkosoe nothing else, so stupi.d
 
Back
Top Bottom