Hallow...wadau. Ningependa kujua kwa anayefahamu kuhusu mwezi gani wa kufanya application za masters hapa mlimani, chuo..na mwisho wa kupokea fomu za maombi.
Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?
Duuuuu MUD ,masters in university of daresalaam
Yaani nimekomaje?Yaani kila kitu sijaelewa. kuna masters in university of DSM???? Maajabu inaonyesha uko hapo!!!
Mkuu, kujua lugha si kigezo cha ufaulu masters unless unasoma languages. Zipo course nyingi tu ambazo hazihitaji umahiri wa lugha.Sasa kama umeandika "Masters in University of Dar es salaam" unadhani unao uwezo kweli wakusoma Masters ?
Duuuuu MUD ,masters in university of daresalaam