Naomba mwenye ufahamu wa hii course anisaidie kujua chuo gani kinatoa content na kufundisha vizuri kati ya Mzumbe, IFM na IAA.
IAA imenifurahisha zaidi maana kuna somo la Taxation tatizo sijui kama kuna walimu wa kutosha.