Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Degree ya kwanza umesomea niniNaomba mwenye ufahamu wa hii course anisaidie kujua chuo gani kinatoa content na kufundisha vizuri kati ya Mzumbe, IFM na IAA.
IAA imenifurahisha zaidi maana kuna somo la Taxation tatizo sijui kama kuna walimu wa kutosha.
Naomba msaada wenu.