Masters of Education in Curriculum Development and Instruction

Masters of Education in Curriculum Development and Instruction

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
habari wadau humu,mtu mwenye hiyo masters of education in curriculum development and instruction kwa bongo ni wapi anaweza fanya kazi au kuajiriwa sekta gani。natanguliza kushukuru kwa mchango wenu
 
Ngoja waje wenye uelewa zaidi juu ya hiyo kitu, ila binafsi nadhani hawa watu wenye hiyo masters na above hua wanafanya kazi TIE(Tanzania Institute of Education).
 
TIE,,NECTA,TCU,KWENYE VYUO na sekta mbalimbali za kelimu.'.......
 
hiyo coz pia inatolewa Jordan university college ila soko lake ni gumu sana. " kwa mtazamo wangu". nadhan ni bora zaid mtu aliyesoma Education management and planning. ila kwa hiyo coz unayoisemea yaan curriculum.... utafanya Kazi TCU, TIE, Nacte etc
 
Acheni mawazo mgando ya kusoma uje kuajiriwa. Fikirien kujiajiri
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Acheni mawazo mgando ya kusoma uje kuajiriwa. Fikirien kujiajiri

pole sana. ungejua tulivyo ata usingefikiri kirahisi hivyo. usimpimie mtu kijujuu huku mtandaoni. we comment afu pita ivi. we umejiajiri toka lini??? na kama ndivyo usifikiri ww ndo umeweza kuwazidi wengine
 
Masters of management & Administration (MEMA) ndio ngumu kupata ajira kuna jamaa yangu huu mwaka wa tatu anasota kitaa!
 
Duh maswali mengine bwana, full utata. Anyway anaweza kuajiriwa pale Taasisi ya Elimu Mitaala kama ajira zitakuwepo na kama atakuwa na vigezo na uwezo wa kushindana wa wasaka kazi wengine. Sector anayoweza kufanyia kazi zaidi zaidi ni sector ya elimu. Yaani kuanzia wizaran na taasisi zake zote. Pia anaweza kuwa Mhadhiri kama atapata hiyo fursa chuo chochote hasa vyenye kozi za ualimu. Otherwise asiwekeze kwenye kufikiri ataajiriwa wapi na nani kwa sababu soko la ajira halitabiriki ndio maana mitaani kuna wanasheria lakini wanafundisha sekondari, walimu wanafanya kazi benki na wengine wengi wamejiajiri kwa style tofauti tofauti.
 
Acheni mawazo mgando ya kusoma uje kuajiriwa. Fikirien kujiajiri

Aisee ww na wengne mnaokataa watu wasiajiriwe ndio mna MAWAZO MGANDO ivi unakomaliaa mtu ajiajiri na wakati ndio ametoka shule!!huo mtaji anautoa wapi??watu tumehitimu sasa tunatafuta ajira angalau kuutafuta huo mtaji pia mnapondaa!!tukikaa vijiweni pia mnaponda sasa which is which tufanyajee sasa jamani mbona tunakatishana tamaa hivi??alafu utakuta sasa anaetaka ujiajiri yy kaajiriwa.......ki mshahara kiduchu!!!!
Aaaghh mmezidi bana acheni upuuzii!!!
 
Robert Kiyosaki anaharibu vijana kwamba wakatae kuajiriwa, ts okay,but what is your project?,and do you have enough capital?,in fact western and most developed countries nimesha ishi huko sana i know,kuna majitu yenye hela zao sio mpaka uende bank,haya majamaa ni kama wazee wa wall street,unafuata unamiambia nina this and this but i have no capital,wana kusaport wanakuwa wabia, REFER, MACK ZUCKERBERG,STEVEN JOB,BILL GATE,LARRY HARRISON,THOMAS EDSON,TESLA,na wengine wengi,but hata huyo Robert ukimsoma ukimuelewa yeye alifanya kazi kwanza na makampuni makubwa akapata mtaji,and finally watu jamii ya robert kiyosaki wapo kibao US,wao ni watia moyo tuu,ndo kazi zao,bt si kuwa ni billionaire,,everyone wanna be a reach broh,and no one ambaye hajui uwekezaji ni mzuri,
 
Back
Top Bottom