Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Habari za Jumapili wapendwa.
Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha vijana wetu fursa tajwa hapo juu. Mwanafunzi aliemaliza kidato cha 4, na credits zake hazitoshi kumuwezesha kuendelea na A - level, anayo fursa ya kuendelea na masomo mpk lvl ya phd. Anatakiwa kuwa mvumilivu na afanye hivi:
Nimewasilisha.

- Anaenda kujiunga na moja ya vyuo vya VETA (ada ya VETA kwa mtoto wa boarding ni wastani wa 250,000 Tsh kwa mwaka, na wale day scholars ni 125,000 Tshs kwa mwaka).
- Akifanikiwa kupata cheti cha VETA (inawahusu fani kama - Mechanics, Eloctronics, Lab tech, IT etc), anaomba kufanya diploma Arusha tech, Mbeya tech, WDMI etc
- Baada ya hapo safari inaendelea mpaka Bachelor, Masters mpaka phd!
Nimewasilisha.