Masters thesis and by coursework tofauti yake ni nini?

Masters thesis and by coursework tofauti yake ni nini?

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
317
Reaction score
170
Masters by course work na by thesis tofauti yake ni nini hasa?
 
Nmefatilia hivi karibuni, vyuo vingi kama ulipata GPA ya 3.5 na kuendelea masters yko hautokuwa na course work, ila kam gpa ya chini ya 3.5 maana utapiga coursework
 
Nmefatilia hivi karibuni, vyuo vingi kama ulipata GPA ya 3.5 na kuendelea masters yko hautokuwa na course work, ila kam gpa ya chini ya 3.5 maana utapiga coursework

Duuuuuu Mbona hatari sasa
 
Thesis lazima iwepo isipokua kama ulikua na gpa ndogo ndo itakubd upge mpk coursework

Hivi mfano mtu anakuwa na first class kwa degree ya kwanza akaomba masters ya cozwork full time na ni miaka miwili je watamnyima afanye research tu ?
 
Nmefatilia hivi karibuni, vyuo vingi kama ulipata GPA ya 3.5 na kuendelea masters yko hautokuwa na course work, ila kam gpa ya chini ya 3.5 maana utapiga coursework
Hapa nimejifunza kitu
 
Nimekusoma kumbe by coursework ndio nzuri
Unaposema ya CW ni nzuri inategemea unasomea chuo gani. Kwa Chuo kama UDSM bora upige tu thesis. Unaposoma by Coursework unapigishwa kwata la nguvu kwenye CW. Alafu mwishoni unamalizia na Dissertation ambapo kwa UDSM uzito wanaoweka kwenye dissertation na thesis tofauti ndogo sana
 
Kuna masters haina thesis?
Ndiyo. Thesis inatumika kwa mtu anayeanza kusoma moja kwa moja kuanza kuandika research proposal na kuendelea na research yake. Wanaosoma kwa CW wanapiga kwanza pindi na mitihani ndo baadaye waende research. Ujinga wa CW ukishafikia hatua ya kuandika proposal na research hauna tofauti na mtu wa thesis, japo kwenye weight mtu wa CW anafanya dissertation (siyo thesis). na Dissertation ni partial fullfilment wakati Thesis ni fulfilment
 
Back
Top Bottom