Masters thesis and by coursework tofauti yake ni nini?

Ndiyo. Thesis inatumika kwa mtu anayeanza kusoma moja kwa moja kuanza kuandika research proposal na kuendelea na research yake. Wanaosoma kwa CW wanapiga kwanza pindi na mitihani ndo baadaye waende research. Ujinga wa CW ukishafikia hatua ya kuandika proposal na research hauna tofauti na mtu wa thesis, japo kwenye weight mtu wa CW anafanya dissertation (siyo thesis). na Dissertation ni partial fullfilment wakati Thesis ni fulfilment

Mfano wa dissertation

Facult business management. Ie hrm

TOPIC
The role of human resources in creating a respected working environment that contributes in sustainable revenue growth

Research Aim:
The research aims to examine the role of human resources in creating a respected working environment and sustainable revenue growth.
The study will identify current misunderstandings and disparities in understanding of topics such as sustainable development, corporate social responsibility, and the link between strategic human resource management and sustainable Human resources management through a comprehensive literature review. It will also identify and recognise the challenges that sustainable human reaources management encounters in reality, with a particular emphasis on the prevalent strategic HRM schema and the misunderstanding of corporate social responsibility.
Unaenda kesho unaambiwa hakuna kitu rudia tena umeandika majongoliko tu
Ndio utajua kuwa lecture anavyonyenyekewa kwa hali ya juu
 
Kumbe tena kuna kudifend tena

IMG_2370.jpg
 
Nmefatilia hivi karibuni, vyuo vingi kama ulipata GPA ya 3.5 na kuendelea masters yko hautokuwa na course work, ila kam gpa ya chini ya 3.5 maana utapiga coursework
Unawapotosha watu mkuu.

Ipo hivi,
Mwenye GPA ya 3.5+ na kuendelea kwenye undergraduate ndiye anaruhusiwa kusoma Master kwa Thesis,
Wakati mwenye GPA ya chini ya hiyo haruhusiwi (hana kigezo cha) kusoma Master kwa thesis.

Wakati upande Master kwa Course Work na Dissertation, yeyote mwenye GPA ya kuanzia 2.7 kwa undergraduate, anaruhusiwa (anakidhi vigezo vya) kuisoma.

IKUMBUKWE:
Baada ya kuhitimu,
Master kwa Thesis haina GPA,
bali hupewa daraja la "PASS",
Wakati Master kwa Course Work & Dissertation ina GPA.

Na kwa wale wenye malengo ya kusoma Master ili waje kuwa wanataaluma Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers),
Wanapaswa kuwa na ufaulu wa GPA ya 3.8 ili wafundishe vyuo vya kati na 4.0 ili wafundishe vyuo vikuu.

Wakati kama walisoma Master kwa Thesis (ambayo haina GPA), watalazimike watoe angalau machapisho mawili (publishing two papers) katika majarida ya kitaaluma (journals) yanayotambulika, ndipo waweze kufundisha vyuoni.
 
Well said mkuu
 
[mention]Udochi [/mention] mkuu niulize kitu
Mfano mtu ana first clasa kwenye degree ya kwanza harusiwi kusoma masters of coursework and dissertation kwenye vyuo vya full time kama udom, mzumbe n.k
 
Mfano wa dissertation

Facult business management. Ie hrm

TOPIC
The role of human resources in creating a respected working environment that contributes in sustainable revenue growth

Research Aim:
The research aims to examine the role of human resources in creating a respected working environment and sustainable revenue growth.
The study will identify current misunderstandings and disparities in understanding of topics such as sustainable development, corporate social responsibility, and the link between strategic human resource management and sustainable Human resources management through a comprehensive literature review. It will also identify and recognise the challenges that sustainable human reaources management encounters in reality, with a particular emphasis on the prevalent strategic HRM schema and the misunderstanding of corporate social responsibility.
Unaenda kesho unaambiwa hakuna kitu rudia tena umeandika majongoliko tu
Ndio utajua kuwa lecture anavyonyenyekewa kwa hali ya juu
😅😅😅Ila nachojua ile kuzungushwa ndo wanapenda kifupi hawezi kukubali kirahis na haitoweza kutokea .

Utapigwa kalamu mpaka utaacha kiherehere cha kumfuata haraka.
 
[mention]Udochi [/mention] mkuu niulize kitu
Mfano mtu ana first clasa kwenye degree ya kwanza harusiwi kusoma masters of coursework and dissertation kwenye vyuo vya full time kama udom, mzumbe n.k
Rejea nilichokiandika mkuu,
Master ya Course Work & Dissertation wanaruhusiwa kuisoma watu wote wenye GPA ya kuanzia 2.7 hadi 5.0,
Ila ya Thesis wanaoruhusiwa ni wale tu wenye kuanzia 3.5 hadi 5.0.

Tafsiri yake hapa ni kwamba,
Mwenye undergraduate GPA ya kuanzia 3.5 hadi 5.0 ana uhuru wa kuamua/kuchagua ama asome Master kwa Thesis au asome kwa Course Work & Dissertation.

Wakati mwenye GPA ya 2.7 hadi 3.4 hana/hapati uhuru wa kuamua/kuchagua asome kwa mfumo upi,
Yeye analazimika moja kwa moja kusoma kwa Course Work & Dissertation tu.
 
Unawapotosha watu mkuu.

Ipo hivi,
Mwenye GPA ya 3.5+ na kuendelea kwenye undergraduate ndiye anaruhusiwa kusoma Master kwa Thesis,
Wakati mwenye GPA ya chini ya hiyo haruhusiwi (hana kigezo cha) kusoma Master kwa thesis.

Wakati upande Master kwa Course Work na Dissertation, yeyote mwenye GPA ya kuanzia 2.7 kwa undergraduate, anaruhusiwa (anakidhi vigezo vya) kuisoma.

IKUMBUKWE:
Baada ya kuhitimu,
Master kwa Thesis haina GPA,
bali hupewa daraja la "PASS",
Wakati Master kwa Course Work & Dissertation ina GPA.

Na kwa wale wenye malengo ya kusoma Master ili waje kuwa wanataaluma Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers),
Wanapaswa kuwa na ufaulu wa GPA ya 3.8 ili wafundishe vyuo vya kati na 4.0 ili wafundishe vyuo vikuu.

Wakati kama walisoma Master kwa Thesis (ambayo haina GPA), watalazimike watoe angalau machapisho mawili (publishing two papers) katika majarida ya kitaaluma (journals) yanayotambulika, ndipo waweze kufundisha vyuoni.
Vizuri sana
 
Asante sana
 
Unaposema ya CW ni nzuri inategemea unasomea chuo gani. Kwa Chuo kama UDSM bora upige tu thesis. Unaposoma by Coursework unapigishwa kwata la nguvu kwenye CW. Alafu mwishoni unamalizia na Dissertation ambapo kwa UDSM uzito wanaoweka kwenye dissertation na thesis tofauti ndogo sana
Vipi kwenye soko la ajira yupi anatoboa kati ya by Thesis au by coursework & Dissertation hasa kwa yule anayetaka kuwa academician
 
Kwa Academician wa Thesis anakubalika zaidi ila uwe umepublish Thesis yako

Kwenye Reputable Peer review Journal.
 
Unawapotosha watu mkuu.

Ipo hivi,
Mwenye GPA ya 3.5+ na kuendelea kwenye undergraduate ndiye anaruhusiwa kusoma Master kwa Thesis,
Wakati mwenye GPA ya chini ya hiyo haruhusiwi (hana kigezo cha) kusoma Master kwa thesis.

Wakati upande Master kwa Course Work na Dissertation, yeyote mwenye GPA ya kuanzia 2.7 kwa undergraduate, anaruhusiwa (anakidhi vigezo vya) kuisoma.

IKUMBUKWE:
Baada ya kuhitimu,
Master kwa Thesis haina GPA,
bali hupewa daraja la "PASS",
Wakati Master kwa Course Work & Dissertation ina GPA.

Na kwa wale wenye malengo ya kusoma Master ili waje kuwa wanataaluma Wahadhiri Wasaidizi (Assistant Lecturers),
Wanapaswa kuwa na ufaulu wa GPA ya 3.8 ili wafundishe vyuo vya kati na 4.0 ili wafundishe vyuo vikuu.

Wakati kama walisoma Master kwa Thesis (ambayo haina GPA), watalazimike watoe angalau machapisho mawili (publishing two papers) katika majarida ya kitaaluma (journals) yanayotambulika, ndipo waweze kufundisha vyuoni.
Nilichokiona hapa jf kila mtu hujifanya anajua japo hawajui ww ndo umemaliza kila kitu ndugu zangu kama hujui usihifanye kama mwanamke eti kwa vile ana k tu hua anajifanya kuringa kumbe k ni kama nyaya inayouzwa masaki na binyokwa ya masaki nzr na bei juu cause ni kwa vle ipo masaki imeongezewa rhamani
 
Nimekusoma kumbe by coursework ndio nzuri
Wakati wewe una dreams za kufanya kazi kwenye Academia and Research, Industry Specialist, Think Tanks and Policy Development, Entrepreneurship, Innovation, Knowledge Management and Communication...
 
Vipi kwenye soko la ajira yupi anatoboa kati ya by Thesis au by coursework & Dissertation hasa kwa yule anayetaka kuwa academician
Kwenye ajira haiweki tofauti yoyote. Sema wa coursework anakuwa na advantage ya kuwa na coverage ya vitu vingi alivyosoma akiwa darasani wakati wa thesis anakuwa amespecialize kwenye hicho kitu kimoja anachoenda kufanyia research
 
FS you are so poor kwamba hujui kuna profession ya Food and Nutrion na watu wababukua mpaka Phd?
Sawa rich dude, but unalijua jukwaa la education? Huko ndiyo mahususi kwa ajili ya issues za education hata kama ni za food and nutrition na ndiyo maana hata huu uzi umepelekwa huko tofauti na ulivyokua kwenye jukwaa la mapishi, you have excelled at what?...
 
Back
Top Bottom