hapo kwenye nyekundu unamaanisha nini? nifafanulie niwezekukusaidia mawazo.Habari zenu wandugu,
Naomba nifaamishwe km udom wamemliza usaili kwa watu wa masters wa education na kama wameanza kusoma kwa wale wa fultym na kama je nikitaka nafasi saiv nitaweza kupata kwa fultym, vp accomodation wanalipaje?
Je kwa evening classes mwisho wao wa usajili ni lini na wao wanalipia accomodation?
Hilo tu ndugu zangu nisaidie.
hapo kwenye nyekundu unamaanisha nini? nifafanulie niwezekukusaidia mawazo.
Habari zenu wandugu,
Naomba nifaamishwe km udom wamemliza usaili kwa watu wa masters wa education na kama wameanza kusoma kwa wale wa fultym na kama je nikitaka nafasi saiv nitaweza kupata kwa fultym, vp accomodation wanalipaje?
Je kwa evening classes mwisho wao wa usajili ni lini na wao wanalipia accomodation?
Hilo tu ndugu zangu nisaidie.
usaili au usajili? , bado sijakuelewa ndugu mi najuaga usaili or interview ni kwenye kuomba kazi ila kwenye kusoma kuna usajili or registration, sasa wewe unaposema usaili unamaanisha nini?Namaanisha wamemalza usail?
uandishi wako huu