Habari zenu wandugu,
Naomba nifaamishwe km udom wamemliza usaili kwa watu wa masters wa education na kama wameanza kusoma kwa wale wa fultym na kama je nikitaka nafasi saiv nitaweza kupata kwa fultym, vp accomodation wanalipaje?
Je kwa evening classes mwisho wao wa usajili ni lini na wao wanalipia accomodation?
Hilo tu ndugu zangu nisaidie.