Butho Mtenzi
JF-Expert Member
- Feb 26, 2011
- 331
- 22
Nimesoma BAED (HIST NA KISWAHILI) Ila mastazi yangu nataka nifanye Kiswahili pekee anaefaham procidure zake naomba anisaidie na Chuo gani kinafaa
Nakushukuruni Wakuu nitatembelea kujua mustakhabali wake! Ni lazima tudumishe Lugha yetu
Nami natafut ufumbuz wa swal hl. Nam napga BEDA (HIST as minor subject & KISW as major subject) lakn nataman kuja kuchukua M.A ya Kiswahl tu. Lakn n chuo gan kinatoa hii shahad ya uzaml ndo shda lakn 2tajua 2.
KISWAHILI KITUKUZWE