Masters ya Kiswahili (fasihi), msaada

Masters ya Kiswahili (fasihi), msaada

Butho Mtenzi

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2011
Posts
331
Reaction score
22
Nimesoma BAED (HIST NA KISWAHILI) Ila mastazi yangu nataka nifanye Kiswahili pekee anaefaham procidure zake naomba anisaidie na Chuo gani kinafaa
 
Aisee watu kama nyie ndio wazalendo wa kweli...kiswahili oyeeeeeeeeeeee!
 
Nakushukuruni Wakuu nitatembelea kujua mustakhabali wake! Ni lazima tudumishe Lugha yetu
 
Nami natafut ufumbuz wa swal hl. Nam napga BEDA (HIST as minor subject & KISW as major subject) lakn nataman kuja kuchukua M.A ya Kiswahl tu. Lakn n chuo gan kinatoa hii shahad ya uzaml ndo shda lakn 2tajua 2.

KISWAHILI KITUKUZWE
 
udsm pia ata udom
 
Back
Top Bottom