Masters ya Transport Economics inapatikana wapi hapa TZ?

jinalako

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
56
Reaction score
2
Natafuta chuo kinachotoa masters ya Transport Economics. Mwenye msaada plse.
 
natafuta chuo kinachotoa masters ya transport economics. Mwenye msaada plse.

open university of tz inatoa mba specializing in transport and logistic management. Mimi ndo naisoma hii imeanzishwa mwakahuu na tulisomea pale chuo cha usafirishaji, nit mabibo. Udsm wana masters of international transport tu.
Transport economics tulisoma kama somo.
Karibu
 
Unataka kufanya kazi Abood Bus Service,Dar Express,Sumry,Allys Bus au wapi mbona ckuelewi
 
Hiyo kitu iko kwenye prospects ya National Institute of Transportation, sijafahamu inaanza lini lakini nafahamu mchakato ulikuwa umeanza.
 
air tanzania.

its more than that, anaweza fanya kazi kama transport officer ambao wanatakiwa kila wizara, taasisi kubwa(tbl, tcc, university, voda etc), pia sumatra, clearing and forwarding companies, bandari etc
 
hiyo kitu iko kwenye prospects ya national institute of transportation, sijafahamu inaanza lini lakini nafahamu mchakato ulikuwa umeanza.

wao nit ndo wameanzisha degree programme yake mwaka huu.
Kwa masters hapa tz hamna ila open university wanayo masters of business adminstration in transport and logistics mgnt na udsm wana masters of international transport. So, aamue aende wapi au azame nje.
 
unataka kufanya kazi abood bus service,dar express,sumry,allys bus au wapi mbona ckuelewi
hayo ni mawazo yako..... Jitahidi kuuliza b4 haujajipa majibu. Usidandie gari kwa mbele
 
Kazi za transport officer zinawezafanywa na Stores Officer/Procurement Officer.

its more than that, anaweza fanya kazi kama transport officer ambao wanatakiwa kila wizara, taasisi kubwa(tbl, tcc, university, voda etc), pia sumatra, clearing and forwarding companies, bandari etc
 

thanx mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…