Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natafuta chuo kinachotoa masters ya transport economics. Mwenye msaada plse.
Unataka kufanya kazi Abood Bus Service,Dar Express,Sumry,Allys Bus au wapi mbona ckuelewi
air tanzania.
hiyo kitu iko kwenye prospects ya national institute of transportation, sijafahamu inaanza lini lakini nafahamu mchakato ulikuwa umeanza.
hayo ni mawazo yako..... Jitahidi kuuliza b4 haujajipa majibu. Usidandie gari kwa mbeleunataka kufanya kazi abood bus service,dar express,sumry,allys bus au wapi mbona ckuelewi
its more than that, anaweza fanya kazi kama transport officer ambao wanatakiwa kila wizara, taasisi kubwa(tbl, tcc, university, voda etc), pia sumatra, clearing and forwarding companies, bandari etc
open university of tz inatoa mba specializing in transport and logistic management. Mimi ndo naisoma hii imeanzishwa mwakahuu na tulisomea pale chuo cha usafirishaji, nit mabibo. Udsm wana masters of international transport tu.
Transport economics tulisoma kama somo.
Karibu