Masters za open university

Masters za open university

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Nasikia masters za open university kwenye anga za kimataifa haitambuliki na haina soko. Hizo ni tetesi tuu mwenye more info atupie humu.
 
Katika vyuo bora tz open university inakuja kwa kasi.ina maPhd holders wa kutosha,maprofesa wengi.cheki na publications zake!kaka we soma 2 ili inabid ukomae sio mchezo.
 
Ktk vyuo bora tz open inashika namba 4, kuna watalam wengi tena wanaoheshimika nchin na baran afrika wamepitia open.
 
Katika vyuo bora tz open university inakuja kwa kasi.ina maPhd holders wa kutosha,maprofesa wengi.cheki na publications zake!kaka we soma 2 ili inabid ukomae sio mchezo.

kaka wala usihofu mie nina mba ya open, inapigwa shule kila jioni malecture wengi tu wanapigisha shule ya ukweli wengine wa UD akina Dr Mbamba, Dr muta nk pia wengine wa apo apo OPEN.

Shule nzur kaka piga tu.
 
Nasikia masters za open university kwenye anga za kimataifa haitambuliki na haina soko.
Hizo ni tetesi tuu mwenye more info atupie humu.

Muweke Mulugo Mbele yako alafu ujiulize hilo swali na uanze kujipa majibu mwenyewe, je ungemuajiri?. Unajua vitu vingine usipeleke kwenye umati utapata majibu ya hisia tu
 
kaka wala usihofu mie nina mba ya open, inapigwa shule kila jioni malecture wengi tu wanapigisha shule ya ukweli wengine wa UD akina Dr Mbamba, Dr muta nk pia wengine wa apo apo OPEN. shule nzur kaka piga tu

Usifikiri uzuri wa chuo ni kuwa na kina Dr. Mbamba au Dr. Yeyote wa UD maana hata wao wanafundisha na kutunga mitihani na kusahihisha kulingana na wanafunzi wao, jaribu kufatilia utapata hilo jibu ndo haohao wanafundisha Mzumbe, IFM hata SAUT na KIU.

Au nikusaidie subiri matokeo ya form four wako waliopata zero watapata two je inamaana ni kweli alifaulu? Tafakari.
 
Muhimu ni kujipanga na kuweka mbele malengo yako,zinatambulika sana mbona wengi wamepita huko.
 
Commitments + discipline malengo yako kileleni ndiyo ya muhimu, OU itakupa na kukufikisha GOA AHEAD....
Hongera
 
Open is da best University go ahead n 4cus on ur goals
 
Back
Top Bottom