Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Nasikia masters za open university kwenye anga za kimataifa haitambuliki na haina soko. Hizo ni tetesi tuu mwenye more info atupie humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika vyuo bora tz open university inakuja kwa kasi.ina maPhd holders wa kutosha,maprofesa wengi.cheki na publications zake!kaka we soma 2 ili inabid ukomae sio mchezo.
Nasikia masters za open university kwenye anga za kimataifa haitambuliki na haina soko.
Hizo ni tetesi tuu mwenye more info atupie humu.
kaka wala usihofu mie nina mba ya open, inapigwa shule kila jioni malecture wengi tu wanapigisha shule ya ukweli wengine wa UD akina Dr Mbamba, Dr muta nk pia wengine wa apo apo OPEN. shule nzur kaka piga tu