kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 613
- 791
Hakika waungwa hii kitu huwa naipa ratiba ya kila mwezi mara 4 it means per week mara 1...Huwa ninaifurahia sana pindi ninapofanya hii kitu na nimejaribu kuiacha sijaweza katu...
Ila nimeamua kupunguza kasi tu kwa kuipa ratiba ya week mara moja na huwa naifanya kila J4 kwani nimependekeza siku hii maalumu kwani ndio naisikia ndio malaika hushuka wa msamaha...Ila sina uhakika niliambia tu na Mchungaji wangu.
Na huwa nafanya coz ya what matter ni kale ka_utamu wakati una-release.